.

.

.

KUJIUNGA NA PAGE YETU YA FB NA TWITTER BONYEZA HAPA >FACEBOOK<>TWITTER<

KAMPUNI YA MOVIE NA VIPINDI VYA TV

kampuni ya movies na vipind vya tv ya KIOO INC  inafuraha kuwatangazia kuwa kuanzia mwakani kioo inc itaanza kutoa filamu zake za kwanza kwa lugha ya kiswahili na lugha za asili tu ..kampuni hii yenye makazi yake jijini dar es salaam inawalika wadau wa filamu kukaa mkao wa kula kuona vitu toka kioo inc ..maandalizi yanaendelea vizuri na tunatumaini mwakani kazi ya kwanza itatoka hewani na itakuwa safi na yenye kiwango kikubwa...KIOO INC INAKUJA  kuleta heshima katika medali ya filamu na vipind vya TV............loading...60%...

No comments:

Post a Comment

Related Posts Plugin for WordPress, Blogger...