HOME OF FIGURES
Kampuni ya kizalendo inayoongozwa na Mtakwimu Kijana kutoka Tanzania.FRANK .A.LYIMO ni
mtakwimu aliyefudhu mafunzo ya utakwimu toka chuo cha kimataifa cha takwimu
Afrika Masharik na Kati ( EAST AFRIKA
STATISTICAL TRAINING CENTRE) kilichopo Changanyikeni ,Kinondoni ,Tanzania
na Chuo kikuu cha Dodoma.
Akishirikiana na timu ya vijana kutoka chuu kikuu cha Dar es salaam,Mzumbe na
Dodoma wapo tayari kukuhudumu sasa.katika Nyanja zifwatazo
·
Program installation and training
·
Project proposal
·
Project monitoring and evaluation
·
Research
and survey
·
Data cleaning
·
Data analyzing
·
Report writing
·
Report editing
·
Statistical reference books
Utendaji wetu wa kazi unazingatia
mabadiliko ya techonolojia na kazi zetu zote huwa tunazimaliza kwa wakati na zinakuwa katika kiwango kile mteja
alichokihitaji.
Sisi ni vijana wa kitanzania tumeamua
kujiajiri kwa kutumia ujunzi tulioupata toka kwenye vyuo yetu vya hapa nyumbani
.
Karibu tukuhudumie tupo Ubungo ,Dar es
salaam,Tanzania
Wasiliana
na
Mkurugenzi mtendaji home of figures
Kwa simu: 0713592224 au 0767592224
Barua pepe : franklyimo@gmail.com
Fax namba: 0736604852
Pia unaweza ungana nasi kwenye FACEBOOK
bonyeza link hapo chini.
“Takwimu sahihi kwa maendeleo yako na
taifa kwa ujumla”
No comments:
Post a Comment